Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa ubalozi wa Tanzania katika umoja wa Mataifa New York nchini Marekani wakati alipowasili New York Marekani leo akitokea Toronto Canada alikotunukiwa Shahada ya Uzamivu ya Chuo Kikuu cha Guelph jimboni Ontarion.Picha na Freddy Maro
Home
Unlabelled
JK AWASILI NEW YORK, MAREKANI, LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Mzee usisahau kupita Queens,nifikishie salam zangu kwa M.O.P.
ReplyDelete