
Marehemu Lilian Naburi
Familia ya Mzee Geofrey Naburi wa Nguvumali Tanga inatangaza kifo cha Binti yao Mpendwa Lilian Naburi kilichotokea Arusha Jumatano ya tarehe 18/09/2013.
Mazishi yanategemewa kufanyika Jijini Tanga siku ya Jumatatu ya tarehe 23/09/2013 katika makaburi ya Bombo.
Kwa mawasiliano zaidi unaweza ukawasiliana na kaka wa marehemu
Ndugu Ben Naburi kwa namba ya simu +255 713 563003
Blog hii inaungana na familia katika
kipindi hiki kigumu cha majonzi.
Bwana alitoa na Bwana
ametwaa jina la Bwana lihimidiwe
AMINA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...