Na Zitto Kabwe
Kwa takribani wiki tatu sasa kumekuwa na sintofahamu kuhusu muswada wa sheria uliopitishwa na Bunge ili kufanya marekebisho ya sheria ya marekebisho ya Katiba ya mwaka 2011. Mjadala na upitishaji wa sheria hii uliweka rekodi ya pekee katika nchi yetu kwa vitendo vya kihuni kutokea Bungeni ambavyo nisingependa kuvirejea kutokana na aibu kubwa ambayo Bunge liliingia.
Kiukweli kuna sintofahamu katika nchi kuhusu kuandikwa kwa Katiba mpya. Hii imechangiwa na kurushiana maneno miongoni mwa wanasiasa wa pande zote mbili, wanaopinga muswada ulivyo na wanaounga mkono muswada ulivyo.
Masuala ya Tume imalize kazi yake lini, ushiriki wa Zanzibar na idadi ya wajumbe kutoka Zanzibar kwenye Bunge la Katiba, Wajumbe wa Bunge Maalumu wanapatikanaje na kadhalika ni masuala ambayo yanaweza kupatiwa mwafaka kwa viongozi kukaa na kuzungumza.
Haya sio masuala ya kushindwa kujenga mwafaka labda kuwe na nia mbaya dhidi ya mchakato wa kuandika Katiba mpya. Katiba sio suala la kufanyia siasa. Katiba ni uhai wa Taifa.
Thank you Mr THINK TANK.Sielewi kwa nini taifa lina ombwe la wanasiasa wanaozembea kufikiria iwe ndani ya chama tawala au wapinzani.Juzi huyo waziri aliyejitokeza wazi kumblackmail Raisi wetu alionyesha udhaifu mkubwa mno kwani kuna mawili kwa mkuu wake na vipi akiwa Raisi akiwa against kwa nchi za watu maana yake anaachia ngazi.ila pia hao wana siasa wanaoshika bango kwa kuungana na jazba huo si utamaduni wetu wasitublackmail na sisi pia tuna ufahamu wetu kuwa wanaweza kuwa wachumia matumbo. I dont like the way they handle the issue.Watambue kuwa hata kwa dawa watanzania hatupo tayari kuasi juu ya nchi yetu.Zitto you are very mature bro.
ReplyDeleteMdau UK- SINA CHAMA
Haswaa ndugu ZITTO hapa tupo pamoja kumbe ww unafaa kuiongoza hii nchi au mnaonaje? Wenzangu,why nayasema haya coz huyu ndugu Zitto anaona mbali kama mm hakukulupuka kama hao wengine ambao kimtazamo wana hekima ndani ya jamii yetu ya kitanzania lakini nimekatishwa na matamshi yao yasio na busara kabisa pale mkutanoni jangwani ndugu zangu VIONGOZI wa UPINZANI tunakupendeni na kukuheshimuni kama viongozi shupavu lakini tunakuombeni chonde chonde tupo chini ya miguu yenu wote kwa pamoja mpunguze JAZBA,jazba ni hatari kubwa nakuombeni kwa pamoja musiliane na RAISI KIKWETE ili muwekane sawa hili swala ili tupate katiba yenye tija kwa taifa letu,kikwete ni msikivu sn na atakusikilizeni coz hata yeye hapendi kuona watanzania wanatumbukizwa katika janga,huyu raisi wetu kikwete anasitahili kupongezwa kwakukubali kuandikwa kwa katiba mpya huku akiwa kama raisi ni viongozi wachache sana hapa AFRICA au kwenye hii dunia kiujumla wanaofanya vitu kama hivyo,nimalizie kwa mtazamo wangu toka moyoni, angalizo kwa wadau huu ni mtazamo tu,,raisi Mwakiyembe Wkuu Dr slaa,waziri wa uchumi na shilings pro ripumba,waziri wsheria lisu,wa elimu mbowe,mambo ya ndani S,sita,ujenzi na aridhi Magufuli,jeshi na ulinzi ZITTO,nakuombeni mnisaidie palipo salia bila ya kusahau akina mama zetu na dadazetu,,kwa jina natwa mdudu kakakuona nipo huku UINGEREZA nakupendeni woote huko nyumbani,,John masha na Michuzi msiwasahau coz wanabusara sn hawa watu,
ReplyDeletesasa kakuona inabidi uondoke kabisa humu.Elimu mbowe si yale yale muungano wa tanzania na zimbabwe????? Elimu ni muhumu sana hatujajua tu.
ReplyDeleteWapinzani wanakuwa na jazba kwa sababu mara nyingi wanapopendekeza jambo hata kwa maslahi ya taifa huwa hawasikizwi.
ReplyDelete