Home
Unlabelled
LULU AFUNGUKA YA MOYONI KWENYE SEMINA YA FURSA KWA VIJANA MWANZA LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Thanx lulu serikali pia inabidi kufanya zaidi kwani jamii haina utaalamu wa kuendeleza vipaji.Niko Ulaya nina mtoto yuko nursary ila nimeshaenda shuleni mara mbili kueleza vipaji vyake na record inatunzwa na wanajitahidi kuboost vipaji otherwise wabunifu wa kamata fursa nawapa bigup.
ReplyDeleteelimu kwanza. msanii mwenye digrii ni bora zaidi ya la saba.
ReplyDeletewatoto wote wakiwa lulu wakaacha masomo na kukimbilia vipaji nchi itaisha.
ReplyDeleteona division zero 60% lakini kila aliyepata zero ana mistari.
lulu jifunze uchambuzi.
Ina maana watóto wote wenye vipaji waache shule ili waendeleze vipaji? Wapi tutapata viongozi wa kesho wenye elimu. Usipotoshe watoto wa watu Lulu. Kama wewe unaona umefanikiwa shukuru lakini sio watoto kuwashawishi waache shule na kuendeleza vipaji tu.
ReplyDeletecha muhimu alichosahau kuzungumzia ni ku balance masomo na vipaji sababu wasanii wengi wa tanzania (wachezaji, mziki na maigizo) wana vipaji lakini hawafiki mbali kimataifa sababu hawajui kiingereza!!!
ReplyDeleteShule kwanza Lulu. Acha kulaghai umma wa vijana. Kipaji kinapanda chart shule ikiwa imepanda kichwani. Acha ku site ma mbumbumbu kama wewe!
ReplyDeleteShule kwanza Lulu. Ndio maana nchi za wenzetu kuna elimu za uimbaji, uigizaji na sanaa nyingine.
ReplyDeleteMimi nafikiri ingekuwa busara ungemtaja pia kanumba kama mfano mzuri, sio tu biba au Wako Jaco. Hongera kwa kujiandaa kimaisha
ReplyDeleteNadhani kwa upewo wake kajieleza vizuri sasa watu saikology
ReplyDeletemumuandae msije shangaa kesho kawa mbunge wa vijana huyo