Meneja mauzo wa Chemi & Cotex Industries Limited Riyaz Dewji (kulia) akikabidhi funguo ya gari kwa ajili ya kusambaza bidhaa za whitedent kwa Meneja wa kampuni ya Mulla Abdulhussein iliyopo Tanga Bw. Ali Badri (katikakati) ambao pia ni wasambazaji wakubwa wa bidhaaa za whitedent anayeshuhudia kulia ni Meneja mkuu wa Chemi & Cotex Tanzania Bw. Amit Sen.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...