Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Kwa nchi kama Tanzania harakati nzuri kama hizi zimekuwa ni maneno tu kwa ajili ya washiriki kujipatia posho zao lakini utekelezaji wake ni sifuri hasa ukizingatia wanaotakiwa kusimamia haki ndio haohao wanaohusika kuvunja haki za binadamu.

    ReplyDelete
  2. Mtu yeyote aliyepelekwa masomoni na serikali lazima arudi nyumbani hata kama hatopewa kazi au mshahara mdogo au hakuna maendeleo. Ili mtu apewe nafasi ya masomo nje ya nchi lazima awe mzalendo na yupo tayari kwa hali na mali kurudi nyumbani na kusaidia maendeleo.

    ReplyDelete
  3. ben mwaipaja amekwenda wapi?

    ReplyDelete
  4. huwezi kumwambia mwanafunzi anaesoma nje ya nchi arudi nyumbani kama alama ya uzalendo wakati anajua fika viongozi na watendaji karibia wote wa serikali hawana uzalendo.
    "labda uzalendo uwo auanze yeye" Jengine pingamizi mnazozijadili dhidi ya wanafunzi wa nje huo ni uonevu na kuwasumbua wanafunzi

    ReplyDelete
  5. “For those who received this privilege (kusomeshwa ) therefore they have the duty to repay the sacrifice which others(Watanzania) have made, they are like the men who have given all the money available in the village to go and buy food for the starving village….if they will not return back to there people….therefore they are TRAITORS.
    Maadishi hayo nayakumbuka muda wote kwa vile mimi ni mmoja wao. Watanzania wanisamehe,kwani sababu ambazo zimenifanya nizamie baada a shule, wengi hawatanielewa kabisa,na hivyo hakuna haja ya kuzitaja.
    Swala la dual citizenship,halitapita sasa hivi kwa vile wabunge wetu wengi hawaoni umuhimu wa hicho na pia kuwa hawaamini ni Watz wangapi wenye uwezo wa ku invest Bongo? Hivyo
    njoni kwanza mu-invest Bongo(let say the min. of $10 million na kuajiri si chini ya Watanzania 15)for 5 yrs halafu mtu atapatiwa uraia wa Kitanzania,kwani wengi wenu mnataka tu kuwa na dual passport kwa ajili ya kununua ardhi na kujenga nyumba zenu kitu ambacho Watz wengi hawatafaidika.

    ReplyDelete
  6. huyo atakaejenga nyumba nimtanzania mwenzio wakenya wanaowadadazetu kisha wapewa uraia wanamiliki aridhi wewe usemi sembusemtazaniamwenzio mbona usemi pesa zakigenizinazotumwanyumbani ambazo zanakuza uchumi husemi

    ReplyDelete
  7. ukiona pengo jua jino lishan'goka unauliza benja wakati umuon

    ReplyDelete
  8. Bongo hatujambo kwa porojo,kazi zenyewe mnaringia halafu mnasema walio ughaibuni warudi,kweli ubongo mgando,tupo wengi tulijaribu kuja kuomba kazi,wengine tunaambiwa overqualified,wengine hakuna vitengo vya ujuzi wetu,ili mradi mzungusho,it's a who u know rather than qualification. Mawazo ya wote kurudi ni ya mgando,kwani wakiwa huko ulaya watasaidia kwa kiwango zaidi,kuinua familia,kuchangia foreign revenues,kuinua microeconomic kwa kijiji,mtaa waliotoka,wengi wao wanatuma dawa,changia elimu ya sehemu walizotoka,hili halitangazwi,lakini wanafanya haya na mengine mengi.

    ReplyDelete
  9. Jamani mbona mnarudia yaleyele

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...