Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Mhe. George Simbachawene alipokuwa akitoa mada katika
Kongamano la Uwekezaji Kanda ya Kaskazini  kinacArusha, Manyara, Kilimanjaro na Tanga
Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe. George Simbachawene na Naibu  Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Aggrey Mwanri wakiteta jambo katika Kongamano la Uwekezaji Kanda ya Kaskazini katika Jiji la Tanga. Wengine kulia ni  Bw. Hassan Shamte wa Mkonge na Bi Juliet Rugeiyamu-Kairuki, Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC). Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Mhe Henry Shekifu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...