Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Janet Mbene (katikati), Kamishna wa Bima, Bw. Israel Kamuzora (kulia) na Mwenyekiti wa Bodi ya Bima ambaye pia ni Katibu Mkuu Ikulu, Mhe. Peter Ilomo (kushoto) wakishangilia wakati wa Maadhimisho ya 16 ya kila mwaka ya  Siku ya Bima nchini jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) Benki ya NMB, pamoja na baadhi ya makampuni mengine yalidhamini maadhimisho hayo.
Mwenyekiti  wa Bodi ya Bima ambaye pia ni Katibu Mkuu Ikulu, Mhe. Peter Ilomo (kushoto), akizungumza wakati wa maadhimidho hayo jijini Dar es Salaam.  Katikati ni Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Janet Mbene na kushoto kwa Naibu Waziri ni Kamishna wa Bima, Bw. Israel Kamuzora. Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) Benki ya NMB, pamoja na baadhi ya makampuni mengine yalidhamini maadhimisho hayo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...