Mwenyekiti wa Bodi ya Wahandisi nchini Mhandisi Prof.Lyatuu Mrema(kushoto) akitoa taarifa kwa waandishi wa habar i(hawapo pichani) kuhusu maadhimisho ya Siku ya Wahandisi nchini iatakayofanyika Septemba 5 na 6, 2013 jijini Dar es Salaam ambapo itwashirikisha karibu wahandisi 1000, Katika siku hiyo pia kutakuwepo na mabanda 50 ya maonyesho ya kihandisi, utoaji wa tuzo pamoja na kula kiapo cha Wahandisi Wataalamu. Kulia ni Msajili wa Bodi ya Wahandisi nchini Mhandisi Steven Mlote.
Picha na Mwanakimbo Jumaa - MAELEZO
|
Home
Unlabelled
maadhimisho ya Siku ya Wahandisi nchini kuanza kesho jijini dar es salaam
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Huyo anayeongea anaitwa Prof. Ninatubu Lema na siyo Lyatuu Mrema
ReplyDeletewahandisi wengi tanzania hawajui uhandisi... hawapo practical wanajua formulas..kanuni na kuandika reports za kucook data. utaona muhandisi wa ujenzi mwenye degree yake akifika kwenye jengo/site anazidiwa au anaelekezwa na wa ftc/veta... ambao wao wamesoma zaidi kwa vitendo kuliko wale wanaotoka kidato cha 6 na kwenda pale mlimani. WANA CHA KUJIVUNIA KABISA... WANAPENDA SANA KAZI ZA MENEJIMENTI KULIKO ZA UHANDISI.. DO RESEARCH TO PROVE ME WRONG.
ReplyDeleteMzungumzie kuhusu kukosekana kwa wakandarasi wa kutosha nchini kupeleka umeme vijijini na jinsi ya kuongeza na kuwezesha mainjinia wazawa kufungua kampuni iliziweze kuchukua kandarasi hizi.
ReplyDeleteAnayeongea hapo juu ni kweli ni Prof. Ninatubu Mbora Lema na siyo Prof. Lyatuu Mrema.
ReplyDeletepia mzungumzie kwa nini wahandisi 1000 mnashindwa kuhakikisha website yenu inafanya kazi muda wote kutoa habari kwa wadau
ReplyDeletemnashindwa hadi na MISUPU!