Washiriki wa tamasha la 11 la mtandao wa jinsia Tanzania (TGNP) wakishiriki maandamano ya amani ya maadhimisho ya miaka 20 ya mapambano ya ukombozi wa wanawake kimapinduzi makao makuu ya taasisi hiyo Mabibo, jijini Dar es salaam. Kwa picha zaidi na Francis Godwin BOFYA HAPA
Waadamanaji hao wakiwa na mabango yenye ujumbe mbali mbali leo


Kwa hiyo mnafanya nini kutatua kero hizo? Kulalama kumesaidia nini?
ReplyDelete