Bwana Yesu Asifiwe !
Please join us tonight at 8pm CT // 9pm ET to praying for our fellow Kenyans following the tragedy that has claimed 59-lives already.
 
Call:218-895-2851  
code : 9102011 .
 
Tuko Pamoja,
 Mana Ministries (USA).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Mimi licha ya kuwa na huruma na wale walio kufa Kenya, nina sita sana kuwapa pole, kenya wanashikiana na kagama na museveni, watu ambo wanfanya juhudi kubwa kuigawa congo kigaidi, leo tunalalamika kuhusu somalia, huoni kesho kigoma au bukoba itadhurika kama congo itakuwa kama somalia, na yote haya viongozi wa kenya ni washiriki. Kenya imekuwa adui na hata sheri za EAC hawaziheshimu, msiba huu hunihusu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...