Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Mhe. Philipo Mulugo (shati la draft) akiwa katikati ya mashabiki wa Mbeya City wakishangilia timu yao ilipocheza na Yanga na kutoka nayo sare ya 1-1. katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya mwishoni mwa juma. Yanga wamekata rufaa kutaka mchezo urudiwe kwa kile walichodai kuwa walifanyiwa fujo na mashabiki wa Mbeya City. TFF imekiri kupokea rufaa hiyo ila imesema endapo fujo hizo zimefanyika baada ya mchezo na nje ya dakika 90 na nje ya uwanja si tatizo lao bali ni la kijinai hivyo wahusika hapo ni polisi. Kwa picha zaidi na Mbeya Yetu BOFYA HAPA |
Home
Unlabelled
MBEYA CITY WALIVYOIPELEKA PUTA YANGA KWA DROO YA 1-1, rufaa ya yanga yapigwa danadana
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...