Mkurugenzi msaidizi na Meneja Masoko  Bw. Deaogratius Kessy (katikati) wa Kampuni ya Ubunifu ya Sheria Ngowi akimuelezea Mbunifu wa Mavazi Sheria Ngowi juu ya mwaliko alioupata kuhudhuria New York Fashion Week Show nchini Marekani. Kulia ni Meneja Mahusiano wa kampuni ya Sheria Ngowi  Bi. Julda Makundi na kushoto ni Mbunifu wa Nguo za Kike wa kampuni hiyo Bi. Jessica Ngowi. Mkutano huo umefanyika leo katika ukumbi wa Habari Maelezo jijini Dar es Salaam.

 Baadhi ya waandishi wa habari na washiriki waliohudhuria Mkutano wa wanahabari ulioitishwa na Kampuni ya Ubunifu ya Sheria Ngowi ambaye ni Mbunifu wa Mavazi na mtanzania aliyepata mwaliko kuhudhuria New York Fashion Week Show nchini Marekani. PICHA ZOTE NA BENEDICT LIWENGA-MAELEZO.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Mbona huyu mwandishi mwenye bhaghalashia ANADESA? halafy daftari lake jeupe, hajaandika hata neon moja.

    ReplyDelete
  2. kwanini wasingeelezana ofisini wanakuja kuelezana mbele ya waandishi?? publicity story haijatulia vizuri...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...