Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 20 mpaka sasa

  1. EBWANAEEEEEEE.....

    ReplyDelete
  2. must be turkiye origin

    ReplyDelete
  3. mavi = blue colour in turkish

    ReplyDelete
  4. Are you people serious? What is served there?

    ReplyDelete
  5. Hii wapi? Mavi lunchbox !! The kitchen staff must be realy busy.

    ReplyDelete
  6. HIYO BUSINESS NAME ITAWAHARIBIA BIASHARA HUKU TANZANIA

    ReplyDelete
  7. Are they serious? Hawajakaa na wazawa wakawaambia maana ya hilo jina au. ....

    ReplyDelete
  8. Msishangae saaana, kila watu wana lugha yao! Zambia kuna shule inaitwa matako.

    ReplyDelete
  9. the Name alresdy has pushed you out of market, siezi sema eti naenda kula MAVI, loooh! au chips za mavi tamu bilaaa! hahaaahaaahaa

    ReplyDelete
  10. kumbe hii sio tz bwana dah nlishaanza bwata

    ReplyDelete
  11. kinyaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  12. Mimi hapo hata kwa Bei ya BURE sili chakula ng'o !

    Hata kama niliingia usiku hapo Mgahawa bila kuona jina hilo hapo juu na nikiliona nikiwa natoka, ohhh hata nikiwa nimekwisha kula DISHI KALI KIVIPI nitaji tapisha kwa kuchokonoa vidole kwenye koromeo langu!!!

    ReplyDelete
  13. Mgahawa huo kwa Bongo watakuala Mateja na Masela tu, tena inatakiwa washushe bei zao na kutoa huduma za ziada na kupunguza mashariti ya kibiashara kama hapa chini ambazo Mihagawa mingine hakuna:

    1.Matandu na Michuzi ya Selwa,
    2.Sahani mtu kati (watu zaidi ya mmoja kula sahani moja),
    3.Visahani vya 'ajasti' (nyongeza za ugali baada ya mlaji kimaliza sahani yake na shariti ni lazima tonge moja liwepo bado ktk sahani ama sahani ikiwa tupu haikubaliki unaagiza sahani ingine kwa bei kamili)

    ReplyDelete
  14. Mmmmmmhhhhhh hizi lugha na utofauti wa lugha katika nchi tofauti

    ReplyDelete
  15. aaah, KWELI TEMBEA UONE.

    ReplyDelete
  16. Akija Bongo jina bora litakuwa

    BLUE MAVI

    ReplyDelete
  17. Mavi lunch box!!!

    ReplyDelete
  18. Hahaha mambo ya canada hayo mzungu ajui nn maaana ya mavi kwaiyo poa tu! Money first bushitt last!! Lol

    ReplyDelete
  19. Hahahah!

    Hao jamaa wakija Tanzania wabadilishe Huduma zao wasifanye Biashara ni vile kamwe hawata uza kitu, bali wawe ni NGO (Asasi isiyo ya Kiserikali) wawe wanagawa chakula Bure kwa watu wanaoishi mazingira magumu!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...