Home
Unlabelled
mgahawa maridhawa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
EBWANAEEEEEEE.....
ReplyDeletemust be turkiye origin
ReplyDeletemavi = blue colour in turkish
ReplyDeleteAre you people serious? What is served there?
ReplyDeleteHii wapi? Mavi lunchbox !! The kitchen staff must be realy busy.
ReplyDeleteHIYO BUSINESS NAME ITAWAHARIBIA BIASHARA HUKU TANZANIA
ReplyDeleteAre they serious? Hawajakaa na wazawa wakawaambia maana ya hilo jina au. ....
ReplyDeleteMsishangae saaana, kila watu wana lugha yao! Zambia kuna shule inaitwa matako.
ReplyDeletethe Name alresdy has pushed you out of market, siezi sema eti naenda kula MAVI, loooh! au chips za mavi tamu bilaaa! hahaaahaaahaa
ReplyDeletekumbe hii sio tz bwana dah nlishaanza bwata
ReplyDeletekinyaaaaaaaaaaaa
ReplyDeleteMimi hapo hata kwa Bei ya BURE sili chakula ng'o !
ReplyDeleteHata kama niliingia usiku hapo Mgahawa bila kuona jina hilo hapo juu na nikiliona nikiwa natoka, ohhh hata nikiwa nimekwisha kula DISHI KALI KIVIPI nitaji tapisha kwa kuchokonoa vidole kwenye koromeo langu!!!
Mgahawa huo kwa Bongo watakuala Mateja na Masela tu, tena inatakiwa washushe bei zao na kutoa huduma za ziada na kupunguza mashariti ya kibiashara kama hapa chini ambazo Mihagawa mingine hakuna:
ReplyDelete1.Matandu na Michuzi ya Selwa,
2.Sahani mtu kati (watu zaidi ya mmoja kula sahani moja),
3.Visahani vya 'ajasti' (nyongeza za ugali baada ya mlaji kimaliza sahani yake na shariti ni lazima tonge moja liwepo bado ktk sahani ama sahani ikiwa tupu haikubaliki unaagiza sahani ingine kwa bei kamili)
Mmmmmmhhhhhh hizi lugha na utofauti wa lugha katika nchi tofauti
ReplyDeleteaaah, KWELI TEMBEA UONE.
ReplyDeleteAkija Bongo jina bora litakuwa
ReplyDeleteBLUE MAVI
Mavi lunch box!!!
ReplyDeleteHahaha mambo ya canada hayo mzungu ajui nn maaana ya mavi kwaiyo poa tu! Money first bushitt last!! Lol
ReplyDeleteMAVI OYEE!
ReplyDeleteHahahah!
ReplyDeleteHao jamaa wakija Tanzania wabadilishe Huduma zao wasifanye Biashara ni vile kamwe hawata uza kitu, bali wawe ni NGO (Asasi isiyo ya Kiserikali) wawe wanagawa chakula Bure kwa watu wanaoishi mazingira magumu!