Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashillila akiongoza Kamati ya maandalizi ya Mkutano wa 34 wa Jukwaa la Mabunge ya Nchi Wanachana wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC-PF) mara baada ya kuwasili jijini Arusha na kukutana na wafanyabiashara wanaomiliki Hoteli jijini humo.
Dkt Kashillilah akitoa maelekezo kwa Wakurugenzi wa Ofisi ya Bunge kabla hajaondoka Arusha kurejea Dar es Salaam.
Kamati ya Maandalizi pamoja na wamiliki wa Hoteli Jijini Arusha wakiwa kwenye picha ya pamoja.
Moja ya majengo ya Hoteli za Arusha. Mikutano ya Kimataifa ni moja ya viashiria vya kutangaza Tanzania ulimwenguni.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...