Kikosi cha timu ya Airtel Rising stars cha Tanzania kikiwasili usiku wa kuamkia leo katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere kutoka katika michuano ya Airtel Rising Stars nchini Nigeria
Timu ya wavulana ya Airtel Rising stars cha Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere usiku wa kuamkia leo
Mabigwa wa michuano ya Airtel Rising stars Afrika kwa upande wa wasichana Timu ya Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere
Kikosi cha timu ya Airtel Rising stars cha Tanzania wakielekea kwenye basi tayari kwenda hotelini mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere usiku wa kuamkia leo
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...