Mpendwa msomaji tunashukuru kwa mapendekezo kupitia kura zako, hatimaye blog hii yahttp://eddymoblaze.blogspot. com/ imeingia kwenye kinyang'anyiro cha kugombea tuzo ya THE BEST DESIGN/GRAPHIC DESIGN BLOG, Tunakuomba hivi sasa uipigie kura blog hii ili iweze kuchukua tuzo hiyo.
Ili kupiga kura yako tafadhali bonyeza link ifuatayo na uchague palipoandikwa eddymoblaze.blogspot.com:-
Asante kwa ushirikiano wako, piga mara nyingi uwezavyo



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...