Harakati za ukarabati wa bomba lililopasuka ukiendelea kwa kasi usiku wa kuamkia leo eneo la Buma Wilayani Bagamoyo, mkoa wa Pwani
  Naibu Waziri wa Maji, Dk. Binilith Mahenge (kushoto) akifuatilia kwa makini kazi ya kutengeneza bomba liliopasuka, pamoja na Mtendaji Mkuu wa DAWASA, Archad Mutalemwa usiku wa kuamkia leo
 Kazi ikendelea kuhakikisha wananchi wanapata huduma ya maji kabla jua halijachomoza

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Poleni sana mnatumia maji ya bomba maana wengine tumeshayasahau siku nyingi!

    ReplyDelete
  2. Tunatakiwa kujiuliza kwa nini limepasuka ili kuepuka kujirudia kwa ttz hilo.

    ReplyDelete
  3. Si wengine wala hatuoni faida ya hilo likipasuka lisipopasuka sawa tu.Yaani mwezi wa tatu hakuna maji kabisa Kijitonyama yoote

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...