Meneja wa Benki ya NBC Tawi la Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam,
Judith Motta (wa tatu kushoto) akipozi kwa picha na baadhi ya
wafanyakazi katika tawi hilo wakivaa vazi lenye muonekano wa kiafrika
katika ‘Siku maalumu ya kuwashukuru Wateja’ ambayo ni sehemu ya
maandalizi ya maadhimisho ya Mwezi wa Huduma kwa Wateja wa NBC
unaotarajiwa kufanyika mwezi ujao. Wateja waliwekewa zulia jukundu
wakati wakuingia katika tawi hilo, kupata viburudisho wakati
wakisubiri kuhudumiwa, walipata nafasi yakupewa maelezo ya huduma za
kibenki za NBC na pia kujibiwa maswali yao.
Meneja wa Benki ya NBC Tawi la MnaziMmoja, Judith Motta (kulia)
akitoa maelezo ya huduma mbalimbali za kibenki katika tawi lake kwa
ammoja wa wateja wa benki hiyo, ….. katika ‘Siku maalumu ya
kuwashukuru Wateja’ ambayo ni sehemu ya maandalizi ya maadhimisho ya
Mwezi wa Huduma kwa Wateja wa NBC unaotarajiwa kufanyika mwezi ujao.
Wateja waliwekewa zulia jukundu wakati wakuingia katika tawi hilo,
kupata viburudisho wakati wakisubiri kuhudumiwa, walipata nafasi
yakupewa maelezo ya huduma za kibenki za NBC na pia kujibiwa maswali
yao.
Mmoja wa wafanyakazi wa Benki ya NBC Tawi la MnaziMmoja,
Jacqueline, Shija kulia) akuhudumia baadhi ya wateja waliofika kupata
huduma mbalimbali za kibenki katika tawi hilo katika ‘Siku maalumu ya
kuwashukuru Wateja’ ambayo ni sehemu ya maandalizi ya maadhimisho ya
Mwezi wa Huduma kwa Wateja wa NBC unaotarajiwa kufanyika mwezi ujao.
Wateja waliwekewa zulia jukundu wakati wakuingia katika tawi hilo,
kupata viburudisho wakati wakisubiri kuhudumiwa, walipata nafasi
yakupewa maelezo ya huduma za kibenki za NBC na pia kujibiwa maswali
yao.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...