Ngoma ya Kilwa Jazz Band ya 'Napenda nipate lau nafasi' si ya kawaida
Home
Unlabelled
ngoma azipendazo ankal
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
very nice, na mimi napenda sana hii rekodi
ReplyDeleteRhumba tulilicheza Enzi hizo MWANAWANE!
ReplyDeleteKizazi Kipya mmeiona hiyo?
Hao jamaa wanne wa Kilwa Jazz wamewafunika wooote Vijana wa Miziki ya Bongo Fleva ya Kisasa!
ReplyDeleteNyimbo nzuri sana, lakini kuna tetesi kwamba, ilishapigwa Zaire, kwa lugha ya Kilingala, Jamaa wakatafsiri tu kwa kiswahili, ikawatoa vibaya sana, hadi leo hii. Kuna anayefahamu zaidi atupe ukweli?
ReplyDelete