Ngoma ya Kilwa Jazz Band ya 'Napenda nipate lau nafasi' si ya kawaida

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. very nice, na mimi napenda sana hii rekodi

    ReplyDelete
  2. Rhumba tulilicheza Enzi hizo MWANAWANE!

    Kizazi Kipya mmeiona hiyo?

    ReplyDelete
  3. Hao jamaa wanne wa Kilwa Jazz wamewafunika wooote Vijana wa Miziki ya Bongo Fleva ya Kisasa!

    ReplyDelete
  4. Nyimbo nzuri sana, lakini kuna tetesi kwamba, ilishapigwa Zaire, kwa lugha ya Kilingala, Jamaa wakatafsiri tu kwa kiswahili, ikawatoa vibaya sana, hadi leo hii. Kuna anayefahamu zaidi atupe ukweli?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...