Mhe. Rais Kikwete akisalimiana na Waziri wa kazi na Utumishi wa Umma wa Zanzibar, Mhe. Haroun A. Suleiman. |
Mhe. Rais Kikwete akisalimiana na Naibu Mwakilishi wa Kudumu katika Ubalozi wa Tanzania, New York, Mhe. Balozi Ramadhan Mwinyi. |
Mhe. Rais Kikwete akisalimiana na Mkurugenzi wa Iadara ya Ushirikiano wa Kimataifa katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Celestine Mushy. BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI |
Where is the First Lady? Why is the bongo media not reporting on this one. It is important we know her whereabouts, we love her dearly. I am a great admirer of her outfits - outstanding.
ReplyDeleteNi kweli mdau hapo juu na mimi niliishajiuliza mana huwa mara nyingi wapo pamoja, first lady wetu ana shine sana, anapendeza na vitenge vyake na alivyo mzuri sijui yuko wapi jamani. Tuambieni au tuonyesheni kama yuko kwenye hizo ziara nayeye.
ReplyDelete