
Mkali wa muziki wa asili ya Kihaya, Saida Karoli,atafanya matamasha makubwa mawili la kwanza ni usiku wa saida karoli, litafanyika tarehe,7.9.2013 leo jumamosi kuanzia saa 2 usiku kiigilio V.I.P ni Tsh.15000/= tu na kawaida ni Tsh.10,000/= tu kwenye ukumbi wa LINA'S CLUB BUKOBA MJINI na Tarehe 8.9.2013 Jumapili ni katika uwanja wa Kaitaba Kiingilio ni Tsh.2500/= tu. Saida Karoli atasindikizwa na Jopo la wasanii lukuki waliowahi kurekodia nyimbo zao ndani ya Tivol Studio wakiwemo wasanii wa nchi Jirani na wa hapa nyumbani Bukoba.


Safi sana. Karibu USA. Watu wote tuliojaa USA tumeshindwa kumleta huyu dada atuburudishe? Ngoja niwachambue kama karanga! Lol!
ReplyDelete