Meneja
wa mpango wa taifa wa kudhibiti ukimwi Dkt Angela Ramadhan akitoa
takwimu wakati wa awamu ya pili ya kampeni ya tuko wangapi? tulizana!
Inayosimamiwa na Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS),
Iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Mwanamuziki
wa bendi ya Fm Academia, ambaye ni rais wa Vijana, Nyoshi El Sadat
akisisitiza jambo wakati wa uzinduzi wa awamu ya pili ya kampeni ya
tuko wangapi? tulizana! Inayosimamiwa na Tume ya Kudhibiti UKIMWI
Tanzania (TACAIDS), Iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
MSanii
wa muziki wa bongofleva H.Baba akitoa burudani wakati wa uzinduzi wa
awamu ya pili ya kampeni ya tuko wangapi? tulizana! Inayosimamiwa na
Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS), Iliyofanyika jijini Dar es
Salaam.
Waandishi wa habari wakifuatilia uzinduzi huo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...