Hello Wanzania Wenzangu, 

Nchi yetu ya Tanzania na sisi Watanzania wenyewe tuna msuli wa kutosha katika nyanja nyingi jamani, tuchukue fursa zilizopo, tusimame imara, tujipange vizuri. Sisi ni Taifa Kiongozi Afrika Mashariki. Twenzetu Jama na Kishwahili chetu Watatufuata Nyuma!!!!!!! Tusiogope Kiswahili chenyewe ni fursa!!!!!

Na Mdau.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Waafrika wakitaka maendeleo wafanye kazi pamoja bila ugomvi. Ushindani utakuwepo kwa sababu kila nchi imebanwa na mahitaji ya ndani na inatafuta fursa za biashara, kukuza uchumi, na kazi kwa ajili ya watu wake. Lakini kushindana kusiwe kwa kupigana vikumbo,na kuonyeshana ubabe. kukiwa hivyo tutabomoa uhusiano hatutajenga.

    ReplyDelete
  2. hata kabla ya haya matatizo tumejisaidia nini?

    embu elezeni sio kusema hoo hoo, kwani nchi hizo zinajiinua na ndio sie sijui hilisijui lile na nini mnazani tutabadilisha hapa nchini Tanzania.

    Niambieni ukweli nchi yetu imezidi kuwa chini, pesa za mambo zinapanda ila kiukweli kama zingekuwa zinapanda na tunaona mabadiliko na haki kwa sie wananchi pia basi eeeehhhh, sasa nini kimebadilika as na nchi hizo unazozisema nao zinamaendeleao kama yetu ya kuwa wapo ambapo hawakuwa 20 or 10 years ago.

    Waacheni kama viongozi wao wamechangamka na wanataka kujieendeleza na hawajalala, eti tuwaachie eti lile eti hili.

    mbona hamkusema before? leo ndio eehhh oohhhh

    ukubwa wa nchi mbona tupo bado tunaomba omba na wanachi maisha yanashuka etc

    embu tuacheni na kuongelea haya kila sekunde kila kona, tanzania ibadilike nasi tutafurahia kusikia, hata twende wenyewe hatutaenda tutarudi tu nyuma.

    labda mulete sera za kutuonyesha kuwa mabadiliko na kujiendeleza kupo sijali chama gani mie as sio mtu wa vyama najali uongozi na serikalini wafanyakazi wakuleta madadiliko na ushauri wote sio wapo pale kichama wapo kikazi so wasikilizwe labda nayo itasaidia katika haya maidala bila kujali vyama bali kujali utanzania na maendeleo haswaaaaaaaaaaaaa.

    waacheni wajiendeleze labda na sie tutaamia huko huko.

    ReplyDelete
  3. Kwa namna ya unafiki ulivyo kwa wajirani zetu, hata sisi watanzania tukijibembeleza vipi kwao watatudharau tu! kwa sasa cha kufanya ni kukomaa na yetu kujenga uchumi wetu na kufanya mambo yetu wenyewe. nchi yetu kubwa na tunaweza kuwekeza ndani na kufanikiwa. hebu tukaze buti tuachane na hawa jamaa.

    ReplyDelete

  4. sijamuelewa kabisa mtoa hoja, tuwapigie magoti kwa lipi? mbona wao hawatupigii magoti, watanzania tuache kujidhalilisha bila sababu za msingi khaaa, umekosa hoja nini.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...