Kocha wa Timu ya Taifa, Denis Lungu (kulia) akiwaelekeza jambo wachezaji wa timu ya Taifa ya mchezo wa Pool (Safari National Pool team) wakati wa mazoezi katika kambi inayoendelea mkoani Morogoro ya mchujo wa kupata wachezaji 8 kati ya 15,watakaowakilisha Tanzania katika fainali za Afrika zinazotarajiwa kufanyika nchini Malawi hivi karibuni.
 Kocha,Denis akielekeza jamabo.
Kikosi cha timu ya Taifa na baadhi ya viongozi.
Mchezaji, Solomoni Eliasi kutoka mkoani Mbeya akifanya mazoezi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Watanzania tufanye productive work. Kazi zenye kuleta Tija na maendeleo ya Nchi tuachane na utegemezi. Vijana hawa wakafundishwe productive skills. Ziada ya hayo ndipo wakajifunze pool na michezo mingineyooooo! Maisha Bora kwa Kila Mtanzania na Big Results hazitaletwa na Pooooool! Watanzania tuache ufinyu wa mawazo na kupenda mtelemkooooo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...