Makamu wa Chama cha Kimataifa cha Taasisi za Afya ya jamii na Mkurugenzi wa taasisi ya Utafiti wa magojwa ya binadamu(NIMR) Dkt Mwele Malecela akitoa salam za ukaribisho kwenye ufunguzi wa Mkutano huo tarehe 30 septemba 2013.
Mgeni rasmi kwenye ufunguzi wa mkutano wa Chama cha Kimataifa cha Taasisi za Afya ya jamii Dkt Mary Nagu Waziri wan chi Ofisi ya waziri Mkuu akiwa na Rais wa Chama cha Kimataifa cha Taasisi za Afya ya jamii Prof Pekka Puska kutoka Finland, Prof David Mwakyusa (Mb) na Makamu wa Chama cha Kimataifa cha Taasisi za Afya ya jamii na Mkurugenzi wa taasisi ya Utafiti wa magojwa ya binadamu(NimR) Dkt Mwele Malecela
Mgeni rasmi pampja na rais na makamu Chama cha Kimataifa cha Taasisi za Afya ya jamii wakirusha njiwa kama ishara ya amani na mshikamano wa taasisi za afya ya jamii Duniani nje ya Hoteli ya ngurdoto Mjini arusha 30.09.2013.
Mgeni rasmi akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa Mkutano wa Chama cha Kimataifa cha Taasisi za Afya ya jamii unaojumuisha wajumbe zaidi ya 100 kutoka nchi 35 duniani,katika Hoteli ya Ngutdoto,mjini Arusha.Waliokaa dkt Mary Nagu, Mkurugenzi wa taasisi ya Utafiti wa magojwa ya binadamu(NimR) Dkt Mwele Malecela.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...