Wanamichezo wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya umma wakiingia uwanjani wakati wa ufunguzi wa michezo ya Shirikisho la Michezo ya Wafanyakazi wa Wizara,Idara na Asasi za Serikali(SHIMIWI)
Wanamichezo wa Wizara ya Nishati na Madini wakiingia uwanjani wakati wa ufunguzi wa michezo ya Shirikisho la Michezo ya Wafanyakazi wa Wizara,Idara na Asasi za Serikali(SHIMIWI)
Wanamichezo wa GST wakiingia uwanjani wakati wa ufunguzi wa michezo ya Shirikisho la Michezo ya Wafanyakazi wa Wizara,Idara na Asasi za Serikali(SHIMIWI)
Wanamichezo wa Bunge Sports Club wakiwa uwanjani wakati wa ufunguzi wa michezo ya Shirikisho la Michezo ya Wafanyakazi wa Wizara,Idara na Asasi za Serikali(SHIMIWI)
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Lephy Gembe akizungumza wakati wa ufunguzi wa michezo ya Shirikisho la Michezo ya Wafanyakazi wa Wizara,Idara na Asasi za Serikali(SHIMIWI) uliofanyika leo katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma
Mwenyekiti wa Shimiwi Taifa Daniel Mwalusamba akimkaribisha mgeni rasmi kuongea na wanamichezo
![]() |
Wafanyakazi wa Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo wakipita mbele ya mgeni rasmi wakati wa ufunguzi wa wa michezo ya Shirikisho la Michezo ya Wafanyakazi wa Wizara,Idara na Asasi za Serikali(SHIMIWI) leo mjini Dodoma.
Naibu Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Amos Makala akiwa katika uwanja wa Jamhuri leo mjini Dodoma wakati wa ufunguzi wa michezo ya Shirikisho la Michezo ya Wafanyakazi wa Wizara,Idara na Asasi za Serikali(SHIMIWI)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...