Mkurugenzi Mwendeshaji wa Bodi ya Utalii Tanzania, Dkt. Aloyce Nzuki, ambaye ni katibu wa mradi wa TANAREAP akitoa maelezo kuhusiana na mradi huo katika tafrija fupi ya uzinduzi wa filamu za kutoa elimu pamoja na kutangaza vivutio vya utalii vya Tanzania.
Kwa niaba ya Mwenyekiti wa Mradi wa TANAREAP, katibu wa mradi huo Dkt Aloyce K. Nzuki akizinduwa rasmi filamu za mafuzo na kuvitanga nza vivutio vya Utalii vya Tanzania.
Mratibu wa Mradi wa TANAREAP, ndugu Kentano Noda akitoa ufafanuzi wa filamu mpya kwa wageni waliyohudhuria tafrija ya uzinduzi katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa , jijini Dar es Salaam.
Kwa maana kila mtanzania akisafiri nje ya nchi atapewa ili akatangaze vivutio huko aendako?
ReplyDeleteMaana hii habari haijitoshelezi.