Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Pereira Silima(katikati)akiwa katika Picha ya pamoja na Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini, John Casmir Minja(wa pili kushoto) pamoja na Wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa wa Kilimanjaro(waliosimama) mara baada ya uzinduzi rasmi wa Duty Free Shop ya Gereza Kuu Karanga, Moshi(Picha na Lucas Mboje wa Jeshi la Magereza).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...