Raymond Maro akiwa pamoja na vijana wakiwakilisha nchi zao kwa michoro ya bendera
Balozi wa Vijana toka katika Jumuiya ya Afrika Mashariki wa Tanzania na Kenya Raymond Maro na Milly Mbedi wanaomaliza muda wao wakiwa pamoja na waandaji wa Mdahalo wa pili wa Vijana juu ya ushirikishwaji wa vijana katika kuboresha jumuiya ya Afrika Mashariki
Balozi wa Vijana katika jumuiya ya Afrika Mashariki kwa upande wa Tanzania anayemaliza muda wake Raymond Maro akiwa na vijana wa jumuiya hiyo; Kutoka kushoto ni Janeth Ningoi toka Tanzania, Amina Ahmed toka Kenya na Diane Kaiteta toka Rwanda baada ya kuchangia mada vema wakati wa mdahalo uliofanyika jijini Dar es Salaam
Vijana wa Tanzania wa Kizazi kijacho juu ya hii Afrika ya Mashariki kazi mnayo!
ReplyDeleteSisi ahhh, tumesha kula chumvi nyingi na sasa tuna karibia mwisho wa safari zetu.
Nimefurahia sana kushiriki katika mdahalo wa pili na kukutana na vijana wenzangu kutoka nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki. Ningependa nifanye masahihisho ya jina. Jina langu ni Janeth Nagai mwakilishi kutoka Tanzania. Naipenda Tanzania. Mungu ibariki Tanzania na watu wake, bariki Jumuiya ya Afrika Mashariki.
ReplyDelete