Viongozi wa Kikundi cha DART (waliovaa T-shirt zenye nembo ya DART) cha Uholanzi wameshiriki maonyesho ya kutangaza Utamaduni na vivutio vya Utalii vya Tanzania katika Maonyesho ya Utalii yaliyofanyika Almere Uholanzi. Kulia, Meya wa Almere Bi. Annemarie Jorrits anaonekana akisalimiana na Viongozi wa Taasisi ya DART. Mhe. Annemarie amehaidi kusaidia Kikundi cha DART katika shughuli zake.
Home
Unlabelled
Viongozi wa Taasisi ya DART Watangaza Vivutio vya Utalii vya Tanzania
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...