Wakila pozi baada ya kumeremeta katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam kabla ya kwenda kwenye mnuso wao wa nguvu katika hoteli ya Golden Tulip si wengine bali ni wadau wakubwa wa Globu ya Jamii Farida Hussein Muyinga na Paul Herman Kirigini
 Wadau Farida na Paul wakiwa na keki maalumu kwa kamati ya maandalizi iliyofanikisha kumeremeta kwao
 Ni wakati wa kukata na kulishana keki kwa wapendanao hao
 Ufunguzi rasmi wa dansi
Vigeregere na hoi hoi wakati maharusi wakiingia ukumbini 
Kwa mapicha mengine ya kumwaga BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Hongera, that is the gown of the Century.

    ReplyDelete
  2. Hongera Cousin Paul!

    Columbus, OH

    ReplyDelete
  3. I agree with the above mdau. Kama hiyo gown imeshonwa Bonfo, basi siku hizi Bongo ni kiboko yake. Even Stell McCartney would not be able to design that. It is an excellent wedding gown. all the best

    Bourke

    ReplyDelete
  4. Jamanı! Sıyo gaunı- in alıyelıvaa!
    Hongera sana Paul & Mrs . Kırıgını. Mmependeza sana- na nınawaombea kwa mwenyenzı Mungu muıshı maısha ya ndoa yenye furaha, amanı na upendo.

    Bıbıe hongera kwa uzurı: sıfa na utukufu kwa Mungu wetu kwa uumbajı!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...