Wakila pozi baada ya kumeremeta katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam kabla ya kwenda kwenye mnuso wao wa nguvu katika hoteli ya Golden Tulip si wengine bali ni wadau wakubwa wa Globu ya Jamii Farida Hussein Muyinga na Paul Herman Kirigini
Wadau Farida na Paul wakiwa na keki maalumu kwa kamati ya maandalizi iliyofanikisha kumeremeta kwao
Ni wakati wa kukata na kulishana keki kwa wapendanao hao
Ufunguzi rasmi wa dansi







Hongera, that is the gown of the Century.
ReplyDeleteHongera Cousin Paul!
ReplyDeleteColumbus, OH
I agree with the above mdau. Kama hiyo gown imeshonwa Bonfo, basi siku hizi Bongo ni kiboko yake. Even Stell McCartney would not be able to design that. It is an excellent wedding gown. all the best
ReplyDeleteBourke
Jamanı! Sıyo gaunı- in alıyelıvaa!
ReplyDeleteHongera sana Paul & Mrs . Kırıgını. Mmependeza sana- na nınawaombea kwa mwenyenzı Mungu muıshı maısha ya ndoa yenye furaha, amanı na upendo.
Bıbıe hongera kwa uzurı: sıfa na utukufu kwa Mungu wetu kwa uumbajı!