Mshambuliaji wa Yanga, Hamisi Kiiza akichuana na beki wa Azam FC, Waziri Salum (kulia) katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Azam FC ilishinda 3-2.
 Mshambuliaji wa Yanga, Didier Kavumbagu (kushoto) akioneshana ubabe na beki wa Azam Fc, Kipre Balou katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo. Azam imeshinda bao 3-2.
Wachezaji wa Azam FC wakishangilia bao la tatu la timu yao. 
Picha zote na Francis Dande

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Mwenzenu mie hata sielewi elewi kuhusu timu yangu yanga.Au ndio tunawavutia kasi......

    ReplyDelete
  2. Kwa mwendo huu, itabidi mbinu za nje ya uwanja zianze kama ilivyozoeleka!!

    ReplyDelete
  3. Yanga yanywa Juisi baridii za Azzam za Embe za Boksi ndefu!

    Boksi 3 za Azzam Mango Juice.

    Taaamu hizo?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...