Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr Rehema Nchimbi akiwakabidhi msaada wa Vitabu vilivyotolewa na Kampuni ya simu ya Airtel Wanafunzi Mariamu Hamisi na Theodory Raymond wa kidato cha kwanza shule ya Sekondari Dodoma wengine katika picha nyuma ni meneja mauzoAirtel Dodoma Saidimu Ngaleson na Mkuuwa Shule hiyo Maico Masala
Mkuu wa Shele ya Sekondari ya Kibakwe ya Wilaya ya Mpwapwa Mkoan i Dodoma Augustine Senya (kulia) akipokea msaada wa vitabu kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr Rehema Nchimbi msaada huo wa vitabu ulitolewa na Airtel kwa Sekondari tano za Mkoa wa Dodoma,wengine nyuma wanaoshuhudia ni kutoka kushoto ni Hedrick Werner Afisa masoko Airtel Kanda ya kati na Saidimu Ngaleson Afisa mauzo Airtel Mkoa Dodoma
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr Rehema Nchimbi (kushoto) akikabidhi msaada wa vitabu Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Bihawana Dodoma Crispin Mtesigwa (kulia) uliotolewa na Airtel kwa kwa shule hiyo jana ,wengine nyuma toka kushoto ni meneja mauzo Airtel Mkoa wa Dodoma Saidimu Ngaleson na mwalimu Helbet Ngusulwa
Afisa Elimu Taaluma Wilaya ya Chamwino Mkoani Dododma Hamisi Mapoto (kulia) akipokea msaada wa Vitabu kwa niaba ya Mkuu wa Shule ya Sekondari Itisso na Mkuu wa Mkoawa Dodoma Dr Rehema Nchimbi (kushoto) msaada huo umetolewa na kampuni ya simu ya Airtel,nyuma ni meneja mauzoAirtel Dodoma Saidimu Ngaleson
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rehema Nchimbi (kushoto) akimkabidhi msaada wa Vitabu vilivyotolewa na Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel kwa shule tano za Sekondari za Mkoa wa Dodoma Kaimu Afisa Elimu taaluma Wilaya ya Kongwa Mkoani Dodoma Sarael Jonas ,wengine ni meneja mauzoAirtel Dodoma Saidimu Ngaleson (kulia) na Afisa masoko Airtel kanda ya kati Hendrick Werner.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...