Balozi wa kuwatetea watoto wa kike kutoka nchini Marekani, Califonia mwenye umri wa miaka (10) Zuriel Oduwole (kushoto) akipokelewa na Msaidizi wa Rais katika masuala ya jamii Mwanahamisi Kitogo (kulia) kwenye ofisi za Taasisi ya Wanawake na Maendeleo(WAMA) mara baada ya kuitembelea ofisi hiyo hivi karibuni jijini Dares Salaam.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete ( kulia) akisalimiana na Balozi wa kuwatetea watoto wa kike kutoka nchini Marekani, Califonia mwenye umri wa miaka (10) Zuriel Oduwole (kushoto) kwenye ofisi za Taasisi ya Wanawake na Maendeleo(WAMA) mara baada kuitembelea ofisi hiyo hivi karibuni jijini Dares Salaam.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete ( kulia) akizungumza na mama mzazi wa Balozi wa kuwatetea watoto wa kike kutoka nchini Marekani, Califonia mwenye umri wa miaka (10) Zuriel Oduwole, Partricia Oduwole (kushoto) kwenye ofisi za Taasisi ya Wanawake na Maendeleo(WAMA) mara baada kuitembelea ofisi hiyo hivi karibuni jijini jijini Dares Salaam. Aliyebebwa ni Ismachiah mdogo wake na Zuriel.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete ( katikati) akiwa na Balozi wa kuwatetea watoto wa kike kutoka nchini Marekani, Califonia mwenye umri wa miaka (10) Zuriel Oduwole(kulia ) wengine aliyevaa nguo ya njano ni Azaliah na pinki ni Arielle ambao ni wadogo zake na Zuriel, kwenye ofisi za Taasisi ya Wanawake na Maendeleo(WAMA) mara baada kuitembelea ofisi hiyo hivi karibuni jijini Dares Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...