Mbunge wa Kinondoni Mh. Idd Azan (katikati) akiwa na wenzake  wa kwanza kushoto ni mwenyekiti wa CCM Mkoani Dar es Salaam, Ndugu Ramadhan R. Madabida na kulia ni mwenyekiti wa CCM Kinondoni ndugu Josephine A. Mwanga walipokuwa kwenye ufunguzi wa matawi ya CCM eneo la Mwenge,Jijini Dar jana jioni.
Mbunge wa Kinondoni Mh. Idd Azan akiwahutubia wananchi wa Mwenge wakati wa ufunguzi wa matawi ya CCM eneo la Mwenge,Jijini Dar jana jioni.
Mbunge wa Donge, Zanzibar na Mwenyekiti wa UVCCM Tanzania ndugu Sadifa Juma Khamis akuwahutubia wananchi wakati wa ufunguzi wa matawi ya CCM eneo la Mwenge,jana jioni.
Meya wa manispaa ya Kinondoni Ndugu Yusuph Mwenda akuwahutubia wananchi wakatiwa ufunguzi wa matawi ya CCM eneo la Mwenge jana jioni.

BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...