Kaimu Mkurugenzi wa Uendeshaji wa NSSF, James Oiso (kushoto), akipeana mkono na Meneja Kiongozi, Uhusiano, Huduma kwa Wateja wa NSSF, Eunice Chiume wakati wa semina kwa
Jumuiya ya Rasilimaliwatu kuhusu hifadhi ya Jamii iliyofanyika jijini
Dar es Salaam, iliyokwenda sambamba na maonesho ya kazi za mifuko ya
jamii.
Meneja
Uhusiano Kiongozi, Huduma kwa Wateja wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya
Jamii (NSSF), Eunice Chiume (katikati), akiwa na maofisa wa NSSF katika
banda la NSSF, wakati wa semina kwa Jumuiya ya Rasilimaliwatu kuhusu
hifadhi ya Jamii iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya washiriki wa semina hiyo.
Kaimu Mkurugenzi wa Uendeshaji wa NSSF, James Oiso (kushoto), akifuatili mada katika semina hio.
Meneja Kiongozi, Uhusiano, Huduma kwa Wateja wa NSSF, Eunice Chiume akitoa
maelekezo kwa mmoja wa washiriki wa semina hiyo kuhusu mafao saba ya
NSSF yakiwemo yale ya Matibabu na Mikopo kwa Wanachama.
Baadhi ya wadau wakipata vipeperushi kuhusu mafao saba ya NSSF.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...