Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Nashukuru kwa picha. Mbagala nilifika miaka ya 90 sehemu ilikua inaitwa misheni kama sikosei.
    Barabara ni nzuri ila usafi wa mazingira sehembu nyingine bado ni tatizo.

    ReplyDelete
  2. Kwanini hampandi miti humo katikati?au mnataka machinga wafungue biashara mje kupambana nao?

    ReplyDelete
  3. Majuu rudini Nyumbani tafadhali!!!

    Ama kwa uchache muwe mnakuja kutembea kama Mdau wa kwanza alivyoiona Mbagala ya miaka hiyo 1990.

    Kama mnavyoona Mabara bara kibao yana Lami.

    ReplyDelete
  4. Thanks Michu.Kwani hiyo barabara wameirudia? ilikuwa imetengenezwa chini ya kiwango sana kwani ilikuwa inabonyea kama ugali.Ila hapo kati kati wangeweka miti.Jmani serikali kuu inatengeneza miundo mbinu mingi ila jiji bado linafanya kazi ya miaka ya 60.Jamani tembeleeni hata Rwanda muone.ukitupa hata karatasi unakamatwa na mpita njia mwenzako. ni pasafi acha.Tengeni pesa kuelimisha usafi wa mazingira.watanzania tuko wachafu mno mno.Weka elimu tuu haiytachukua muda sana itaingia akilini.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...