Baadhi ya wanafunzi wa sekondari ya Oysterbay jijini Dar es Salaam, wakibeba viti na meza mara baada ya kukabidhiwa msaada huo na benki ya KCB Tanzania.Jumla ya meza na viti 131 vilitolewa msaada katika shule hiyo .
Baadhi ya wanafunzi wa sekondari ya Oysterbay jijini Dar es Salaam, wakibeba viti na meza mara baada ya kukabidhiwa msaada huo na benki ya KCB Tanzania.Jumla ya meza na viti 131 vilitolewa msaada katika shule hiyo .
Meneja Uhusiano wa Umma wa benki ya KCB Tanzania,Bi. Hellen Siria akisalimiana na mmoja wa wanafunzi wa sekondari ya Oysterbay jijini Dar es Salaam,alipofika shuleni hapo kuwakabidhi msaada wa meza na viti 131,vyote vyenye thamani ya shilingi Milioni 121.Vilivyotolewa msaada na benki yake.
Meneja Uhusiano wa Umma wa benki ya KCB Tanzania,Bi. Hellen Siria akimkabidhi Mkuu wa Shule ya sekondari ya Oysterbay Bi.Gradius Mhina msaada wa meza na viti 131, Vilivyotolewa na benki hiyo,wanaoshuhudia ni wanafunzi wa sekondari hiyo.Jumla ya madawati 731 yenye thamani ya shilingi Milioni 121 yalitolewa msaada katika shule za msingi Makumbusho, Mbuyuni, Mkunguni,Hananasifu Msasani B ,sinza na sekondari ya oysterbay zote za Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
mimi nimesoma shule hiyo ya Oysterbay na mojawapo ya sera ya uongozi wa shule hiyo ya watanzania waliopata bahati ya kuwa jamii-iliyonacho tuliambiwa mwanafunzi mzazi wako aje na dawati lako.
ReplyDeleteSasa shule za jamii wasionacho ndiyo wangetakiwa kupewa misaada.
Ila ule moyo wa wazazi walionacho kuwanunulia madawati watoto wao uendelee na siyo kuchukua msaada unaostahili wahitaji.