Baadhi ya wanafunzi wa sekondari ya Oysterbay  jijini Dar es Salaam, wakibeba viti na meza mara baada ya kukabidhiwa msaada huo na benki ya KCB Tanzania.Jumla ya meza na viti 131 vilitolewa msaada katika shule hiyo .
 Baadhi ya wanafunzi wa sekondari ya Oysterbay  jijini Dar es Salaam, wakibeba viti na meza mara baada ya kukabidhiwa msaada huo na benki ya KCB Tanzania.Jumla ya meza na viti 131 vilitolewa msaada katika shule hiyo .
 Meneja Uhusiano wa Umma wa benki ya KCB Tanzania,Bi. Hellen Siria akisalimiana na  mmoja wa wanafunzi wa sekondari ya Oysterbay jijini Dar es Salaam,alipofika shuleni hapo kuwakabidhi msaada  wa meza na viti  131,vyote vyenye thamani ya shilingi Milioni 121.Vilivyotolewa msaada na benki yake.
Meneja Uhusiano wa Umma wa benki ya KCB Tanzania,Bi. Hellen Siria akimkabidhi Mkuu wa Shule ya sekondari ya Oysterbay Bi.Gradius Mhina msaada wa meza na viti 131, Vilivyotolewa na benki hiyo,wanaoshuhudia ni wanafunzi wa sekondari hiyo.Jumla ya madawati 731 yenye thamani ya shilingi Milioni 121 yalitolewa  msaada katika shule za msingi  Makumbusho, Mbuyuni, Mkunguni,Hananasifu Msasani B ,sinza na sekondari ya oysterbay zote za Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. mimi nimesoma shule hiyo ya Oysterbay na mojawapo ya sera ya uongozi wa shule hiyo ya watanzania waliopata bahati ya kuwa jamii-iliyonacho tuliambiwa mwanafunzi mzazi wako aje na dawati lako.

    Sasa shule za jamii wasionacho ndiyo wangetakiwa kupewa misaada.

    Ila ule moyo wa wazazi walionacho kuwanunulia madawati watoto wao uendelee na siyo kuchukua msaada unaostahili wahitaji.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...