Home
Unlabelled
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kwanza hongereni sana kwa kuanzia burudani hiyo. ila tafadhalini sana naomba mnisaidie kuniunganisha na DJ Rankim maana, mama yangu mzazi anashida sana kwa miaka mingi ya kumuona mama yake rankim ,wamepotezana muda mrefu nanimekuwa nikimtafuta rankim bila mafanikio.mimi ni mwandishi wa habari wa gazeti la Tanzania Daima naitwa Happiness Katabazi namba yangu ni 0716 774494.naombeni msaada wangu wa kumpata rankim ili aweze kunipatia namba ya mama yake ili hiyo namba nimpatie mama yangu.nitashukuru sana.
ReplyDeletejamani punguzeni kingilio buku 10 nyingi weka elfu 5 tu watu watajaa. Nilikuwepo last week hakuna watu sababu kingilio pia bia zenu gali elfu 3000 nyingi wekeni 2500 uone.
ReplyDeleteMbona masters wanajaa ndani sababu hakuna kingilio!!!