Mkuu wa kitengo cha huduma za Kilimo NMB , Robert Pascal akifafanua jambo wakati wa mkutano wa kutangaza udhamini wa benki ya NMB wa dola elfu tano ($ 5000.00) kwa ajili ya kuadhimisha mkutano wa wawekezaji wa kubangua Korosho utakaofanyika mwezi wa Novemba jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Utafiti na Mifumo ya Teknolojia kutoka Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC) John Kyaruzi
Mkuu wa kitengo cha huduma za Kilimo NMB, Robert Paschal akifafanua jambo wakati wa mkutano wa kutangaza udhamini wa benki ya NMB. Benki ya NMB imetoa dola elfu tano ($ 5000/=) ili kuadhimisha mkutano wa wawekezaji wa kubangua Korosho utakaofanyika wiki ijayo jijini Dar es salaam kwanza kulia ni Mkurugenzi Mkuu Bodi ya korosho, Mfaume Juma anaefuatia ni Mkurugenzi mkuu wa kituo cha uwekezaji, John Kyaruzi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...