Ikiwa imesalia siku moja tu kabla ya zoezi la kubomoa kwa hiari nyumba na mabanda yaliyopo kando mwa barabara Makete-Njombe eneo la makete mjini, kamera yetu imenasa picha za muonekano wa eneo la sokoni Makete mjini kama unavyoona, tayari nyumba zimebomolewa na nyingine zinaendelea kubomolewa. Picha na Edwin Moshi wa Globu ya Jamii
Tembelea libeneke lake http://www.edwinmoshi.com/
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...