![]() |
Na Fares
Lyimo
MAA (MYSORE
ALUMNI ASSOCIATION) inakualika katika kikao cha kuunda na kusajili chama cha
wanafunzi wa zamani waliosoma Mysore kwa nia na madhumini ya kusaidiana kijamii
na kiuchumi kitakachofanyika siku ya Jumamosi, tarehe 12.10.2013 Msimbazi
Center kuanzia saa Tisa na nusu alasiri. Kufika kwako ndo mafanikio ya chama
chetu, ukipata ujumbe huu fikisha kwa mwenzio. Ahsanteni
|
Home
Unlabelled
MYSORE ALUMNI ASSOCIATION inakualika katika kikao cha wanafunzi wa zamani waliosoma Mysore-INDIA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Ankali asante sana kwa kutuwekea tangazo letu hapa. Shukrani. WANA MYSORE TUNAWAOMBA MJITOKEZE KWA WINGI ILI KUPATA MAWAZO MENGI ZAIDI KUFANIKISHA HILI JAMBO. KARIBUNI SANA.
ReplyDeleteNawapongeza sana kwa kuwa na mtazamo huu chanya. Bila shaka kwa uchache wenu na maarifa mliyoyapata yatakuwa chachu nzuri kwenye kuleta maendeleo kwenu, jamii inayowazunguka na Taifa kwa ujumla. Tunawatakia mkutano mwema wenye malengo chanya.
ReplyDelete