Asalaam alaykhum wajina. Pokea kituko hiki katika soma mechi ilichezwa siku ya ijumaa, October 18, 2013 kati ya timu ya TSG Hoffenheim 1-2 Bayer Leverkusen Rhein-Neckar Arena (25,213) Goli la pili lilikua la kimiujiza hata Goal line technology iligonga mwamba link

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...