Tunapenda kuwakumbusha tena kwamba Tawi letu la CCM hapa lilifunguliwa rasmi Agosti 25, 2012 na Ndg. Abdulrahman Kinana, Katibu Mkuu wa CCM-Taifa.
Mkutano wa Wanachama wote ni Jumapili saa nane na nusu mchana (2:30 pm)Novemba 17, 2013.
Mahali: 2031 Adam Clayton Powell Blvd.(7th Ave. Between 121st and 122nd) Harlem, New York.
Tutakuwa na burudani ya muziki pamoja na karamu maalum kwa wahudhuriaji wote.
Tunaomba yeyote anaependa kujiunga na Chama au ni Mwanachama tayari wasiliana na kamati maalum.

1. Isaac Kibodya - Tel.(413)219-1153
2. Prof. Kamazima Lwiza - Tel.(631)278-3859

Email: ccm.grassrootsny1@gmail.com

Kidumu Chama Cha Mapinduzi!
Uongozi wa Tawi  CCM New York!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...