Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akibonyeza kitufe kuzindua rasmi Mradi wa Umeme Wilaya ya Kisarawe Eneo la Mzinga leo mchana. Wanne kushoto ni Waziri wa Nishati na Madini Professa Sospeter Muhongo,Watatu kushoto ni Mbunge wa Kisarawe Mhe.Athumani Jaffo, Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO,Mhandisi Felchesmi Mramba na kulia ni Mke wa Rais Mama Salma Kikwete. Picha na mdau Freddy Maro wa Ikulu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...